zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, October 21, 2013

DK. SHEIN AFUNGUA SEMINA YA WATENDAJI WA CCM, DODOMA

by JOHN BUKUKU on OCTOBER 21, 2013

3Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi Nape Nnauye akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Kartibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kuzungumza  kwenye semina hiyo.4Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Dk. Ali Mohamed Shein alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma, leo kwa ajili ya kufungua semina hiyo.
5Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein mara baada ya kuwasili katika ukumbini kwa ajili ya kufungua semina ya mafunzo kwa watendaji na viongozi wa CCM ngazi za mikoa na wilaya, leo kwenye Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba, na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa.6Wajumbe wakishangilia, Dk. Shein alipowasili ukumbini. Washiriki wa semina hiyo wakiwa ukumbini
8Wajumbe wakishangilia baada ya semina yao kufunguliwa na Dk. Shein
9Makatibu wa NEC, Zakiah Meghji (Uchumi na Fedha) na Mohammed Seif Khatib (Oganaizesheni) wakifuatilia kwa makini hali ya mabo ukumbini wakati wa semina hiyo.
Chanzo: Full Shangwe

No comments :

Post a Comment