zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 23, 2013

PBZ na CAC yatowa Sadaka kwa Nyumba za Watoto Yatima na Wazee Zanzibar.

Mkurugenzi PBZ Shekh Said, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na msaada huo wa sadaka kwa Watoto Yatima na Wazee, ni moja ya faida inayopatikana katika shughuli za kibenki na kutowa misaada kwa jamii.Ilikufaidika na matunda ya Benki yao.   

Zoezi la uchinjaji wa ngombe kwa ajili ya utowaji wa Sadaka kwa Watoto Yatima na Wazee likiendelea katika kijiji cha kizimbani Unguja.

Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman akimkabidhi msaada wa nyama ya ngombe,iliotolewa na PBZ Islamic na Wafanyakazi wa Taasisi ya CAC, Msimamizi wa Nyumba ya Wazee  Sebleni Khamis Salum, makabidhiano hayo yamefanyika katika makaazi ya Wazee hao Sebleni.
Mkaazi wa Nyumba za Wazee Asaa Ali Issa, akitowa shukrani kwa msaada huo uliotolewa na PBZ Islamic na Wafanyakazi wa CAC ya Malasia k   kwa msaada huo  ambao umewafikia kwa wakati muafaka .

Mmoja wa Vijana wa Sober House ya Mpendae wakipokea msaada wa nyama kutoka kwa Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman, kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid El Hajj, makabidhiano hayo yamefanyika katika makazi yao mpendae, wiki iliopita.

Kiongozi wa Sober House Rashid akitowa shukrani kwa Uonigozi wa PBZ Islamic kwa msaada huo ukiwa umefika wakati muafaka na utatumika kama ulivyokusudiwa na kuzitaka Taasisi nyegine kuiga mfano wa PBZ kujali vikundi vya Kijamii kwa misaada mbalimbali ikiwa ni sehemu yao kujuwa shinda za Jamii katika maeneombalimbali Zanzibar. 


Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman akiwakabidhi msaada wa nyama ya ngombe, Watoto wanaoishi nyumba ya Watoto Yatima Maizini Unguja, iliotolewa na PBZ Islamic na Wafanyakazi wa Taasisi ya CAC ya Malasia, kwa watoto mayatima na wazee wasiojiweza, wamakabidhiwa msaada huo ili kujumuika na Wananchi kusherehekea sikukuu ua Eid El Hajj, wiki iliopita.makabidhiana  yamefanyika katika makaazi yao mazizini




Watoto wa Kituo cha Watoto Yatima Markaz Fuoni Ijitimai wakipokea msaada wa nyama ya ngombe uliotolewana PBZ Islami, akikabidhi msaada  huo Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman,katika makazi yao huko Fuoni Ijitimai wiki iliopita.  


Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman, akiwakabidhi msaada wa sadaka ya Nyama ya Ngome watoto wa nyumba ya mayatima katika kituo cha kwerekwe Ijitimai,Unguja, msaada huo umekabidhiwa kwa Uongozi wa kituo hicho wakiwemo watoto wahusika kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid El Hajj, msaada huo umekabidhiwa siku ya maadhimisho ya sikukuu wiki iliopita.
Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment