Rais Jayaka Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali
za kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada
ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013.
Rais Jayaka Mrisho Kikwete aki furahi na mkurugenzi
wa kampuni ya mufindi tea & coffee limited baada ya
kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya
Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013
Rais Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara baada ya
kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013.
Chanzo: ZanziNews





No comments :
Post a Comment