zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 29, 2013

Rais Kikwete awaapisha Balozi wa Nigeria na Makatibu Wakuu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Daniel Ole Njolaay kuwa balozi leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Njolaay amepangwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Mhe Daniel Ole Njolaay baada ya kumuapisha kuwa balozi leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt. Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Dkt. Bashir Mrindoko baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es Salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Raphael Leyani Duluti  kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika  leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe Raphael Leyani Duluti baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Chakula na Ushirika  leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Tamika Mwakahesya kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi  leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Chanzo: ZanzibariYetu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Mhe Tamika Mwakahesya baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi  leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais wakiwa katika picha ya pamoja na walioapishwa leo kushika nyadhifa mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Mhe. Raphael Leyani Duluti  kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Dkt. Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji. toka kulia ni Mhe Daniel Ole Njolaay aliyeapishwa kuwa balozi wa Tanzania nchini nigeria akifuatiwa na Mhe Tamika Mwakahesya aliyeapishwa kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi.

No comments :

Post a Comment