Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Balozi Isaac Sepetu,
Mama Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu
Sinza Mori, Dar es salaam, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya Marehemu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia wa Balozi Isaac Sepetu
alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam,
kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki jana jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac Sepetu
alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam, kutoa pole kufuatia
msiba Marehemu Sepetu aliyefariki jana katika jijini Dar es salaam.
Chanzo: ZanziNews


.jpg)



No comments :
Post a Comment