zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, October 28, 2013

Waziri wa Fedha Omar Yussuf, Asaini Miradi Mnne na Balozi wa China Zanzibar.



 WAZIRI wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee na 
Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Xie YunLiang, 
wakitiliana saini makubaliano ya Miradi Minne inayofadhiliwa na China kuisaidiaZanzibar katika sekta mbalimbali, 
makubalianohayo yamefanyika katika Ukumbi wa Ofizi 
ya Wizara ya Fedha Vuga Zanzibar.

 Waziri wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee na Balozi Mdogo 
wa China Zanzibar Balozi Xie Yunliang, wakibadilishana Mikataba ya 
Makubaliano ya Miradi Minne ya maendeleo Zanzibar waliotiliana 
saini baina ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Serekali Watu wa China, 
utiaji wa saini hizo umefanyika Wizara ya Fedha Vuga.

 Waziri wa Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee akizungumza na 
waandishi wa habari baada ya utiaji wa saini.



Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment