Mwanamitindo Mbunifu a mavazi, Doreen Mashika wa Zanzibar akitoa maelezo ya kazi zake kwa watu waliohudhuria maonyesho ya mavazi kwenye ukumbi wa hoteli ya 6 Degrees Shangani mji mkongwe Zanzibar jana usiku wakati wa maonesho hayo katika ukumbi huo.
Mrembo Anna Gura wa Tanzania akipozi kwenye maonyesho ya mavazi ya mwanamitindo mbunifu Doreen Mashika wa Zanzibar yaliyofanyika kwenye ukumbi wa 6 Degrees
South mjini Zanzibar jana.
Mrembo Joselyn Mrashi wa Tanzania akiwa katika pozi la vazi la mwanamitindo, Doreen Mashika, mbunifu wa mavazi kutoka Zanzibar kwenye maonyesho ya mavazi yake yaliyofanyika kwenye ukumbi wa 6 Degrees South mjini Zazibar jana.
Warembo wa Tanzania Joselyn Mrashi, Anna Gura wakipozi na Sussane Anyango wa Kenya (kulia) wakati wa maonesho hayo ya mavazi yaliofanyika katika ukumbi wa 6 Degrees Shangani Mji Mkongwe Zanzibar.
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa Shamrashamra zikiendelea wakati wa maonyesho ya mavazi ya Mwanamitindo wa Zanzibar, Doreen Mashika jana kwenye ukumbi mpya wa kisasa wa 6 Degrees
Mpambaji Reto Camicael kutoka Afrika ya kusini akimpamba Susanne Manoko wa Tanzania kwenye maonyesho ya mavazi ya mwanamitindo mbunifu wa Zanzibar, Doreen Mashika yaliyofanyika kwenye ukumbi wa kisasa wa 6 Degrees
Membo Dianne Nyanzwa wa Kenya (kulia) akipozi na mrembo wa Tanzania Sussane Manoko
kwenye maonyesho ya mavazi ya mwanamitindo, Doreen Mashika.
Mpambaji Reto Camicael kutoka Afrika ya kusini akimpamba Susanne Manoko wa Tanzania kwenye maonyesho ya mavazi ya mwanamitindo mbunifu wa Zanzibar, Doreen Mashika yaliyofanyika kwenye ukumbi wa kisasa wa 6 Degrees South mjini Zanzibar jana
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment