Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, November 23, 2013

Balozi Seif akagua matengenezo Uwanja wa Amaan

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ekika inayoshughulikia
matengenezo wa uwekaji wa nyasi bandia katika
uwanja wa amani Bwana Ben Mush akimueleza Makamu
wa Pili wa Rais wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif juhudi
zinazochukuliwa na kampuni yake kuendeleza ujenzi
huo ili kuwahi kwa wakati.
 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar B
alozi Seif akishuhudia mitaro ya uwanja wa
amani ilivyofanyiwa matengenezo na kuwa
katika kiwango kinachokubalika.


Balozi Seif akiuagiza Uongozi wa Hoteli ya
Uwanja wa amani kuhakikisha kwamba matengenezo
yanayofanywa katika hoteli hiyo yanamalizika kwa
wakati ili hoteli hiyo iwahi kutoa huduma wakati wa
mashindano ya kombe la Mapinduzi.

Meneja wa uwanja wa Amani Maalim Khamis a
kimuonyesha Balozi Seif marobota ya nyasi Bandia
ambazo tayari zinasubiri kuwekwa katika uwanja
wa amaji Mjini Zanzibar.
Picha na Hassan Issa wa –OMPR – ZNZ.
 
Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment