Balozi Seif akiagana na Naibu Mkurugenzi wa Mfuko
wa Kimataifa wa Misaada wa Bill na Melinda Gates Bibi Arlene
Mitchell mara baada yha mazungumzo yao katika Ofisi ya Mfuko
huo zilizopo kati kati ya Jiji la Seattle.
Kati kati yao ni Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko
Mh. Nassor Ahmed Mazrui.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
akiangalia kifaa kipya kabisa cha mawasiliano ya kompyuta
Maarufu ipad kwenye kampuni ya Microsoft akishuhudiwa na
Waziri wa Biashara Kushoto yake Mh. Nassor Ahmed Mazrui.
Kulia yake ni Mtaa lamu wa Kompyuta wa Kampuni ya
Maicrosoft Mhandisi Daniel Moloznk na Mke wa Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi kati kati akibadilishana mawazo na Mawaziri
wake aliofuatanao nao katika ziara yao Nchini Marekani.
Kushoto yake ni Mh. Nassor Ahmed Mazrui Waziri wa
Biashara, Viwanda na Masoko na kulia yake
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Mh. Mohammed Aboud Mohammed.
Makamu wa Pili wa Rais wa Znzibar Balozi Seif
na Ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja
kabla ya kuanza kutembelea ofisi ya Kampuni ya
Microsoft kati kati ya Mji wa Seattle – Washing
Nchini Marekani.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
na ujumbe wake akiangalia baadhi ya kompyuta
mpya zilizoingia kwenye soko katika ofisi za
Kampuni ya Kimataifa bya Microsoft
Mjini Seattle – Washington Nchini Marekani.
Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na
Uongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa misaada
wa Bill na Melinda Gates pamoja na ujumbe
aliofuatana nao mara baada ya mazungumzo yao
kwenye ofisi ya Mfuko huo Mjini Seattle
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi akisalimiana na Bingwa wa zamani
wa Mbio za Magari Duniani Robert Shumake
aliyekuwa tayari kuingia ubia na Mfuko wa Hifadhi
ya Jamii Zanzibar { ZSSF } katika mpango wake
wa ujenzi wa nyumba za mkopo nafuu Mbweni,
Robert Shumake ni Ofisa Mkuu wa Taasisi ya
Mtandao wa ushirikiano ya Latin America
iliyoanzishwa kwa lengo la kusaidia
huduma za Kijamii kama Ujenzi wa Nyumba,
Afya pamoja na Elimu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif akiwa katika picha ya Pamoja na Bingwa
wa zamani wa Mbio za Magari Duniani Robert
Shumake kushoto yake mara baada ya mazungumzo
yao yaliyofanyika katika Hoteli ya Kimataifa ya Marriott
Mjini Seattle – Washington Nchini
Rais wa Chama cha Wafanyabiashara,
wenye Viwanda na Wakulima Zanzibar
Bw. Abdulla Abass akimpatia zawadi Maalum
za Zanzibar Mkurugenzi Mkuu wa kitengo cha
Elimu ya Afya cha Microsoft Bwana
Bill Crounse Mjini Seattle.







.jpg)

No comments :
Post a Comment