zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, November 12, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI BENKI YA MAENDELEO PLC, JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa kuashiria kuweka 
Jiwe la Msingi katika benki ya Maendeleo PLC, wakati wa hafla ya 
uzinduzi rasmi wa benki hiyo, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. 
Kulia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dkt. Alex Malasusa (kushoto) 
ni Naibu Waziri wa Fedha,Janeth Mbene

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuashiria kufungua 
benki ya Maendeleo PLC, wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa 
benki hiyo, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Askofu 
Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dkt. Alex Malasusa (kushoto) ni 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadic na Naibu 
Waziri wa Fedha,Janeth Mbene.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi 
rasmi wa bemki hiyo,leo

                  Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla 
hiyo ya ufunguzi wa benki hiyo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Afisa Utawala 
wa Benki ya Maendeleo, Rose Mushi, ambaye ni mmoja kati ya 
waanzilishi wa benki hiyo na wahamasishaji kwa watu 
kununua shea katika benki hiyo, ambapo walifanikiwa kupata 
jumla ya Sh. Bilioni 4.5. Makamu alikabidhi vyeti hivyo wakati wa 
hafla ya uzinduzi rasmi wa benki hiyo iliyopo jijini Dar es Salaa,
leo Nov 12, 2013. Wa pili (kushoto) ni Naibu Waziri wa Fedha, 
Janeth Mbene (kulia) ni Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, 
Dkt. Alex Malasusa

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mchungaji, 
George Fupe, ambaye ni mmoja kati ya waanzilishi wa benki 
hiyo na wahamasishaji kwa watu kununua shea katika benki hiyo, 
ambapo walifanikiwa  kupata jumla ya Sh. Bilioni 4.5. Makamu alikabidhi 
vyeti hivyo wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa benki hiyo iliyopo jijini 
Dar es Salaa


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi mfano wa kadi ya ATM, 
mteja wa kwanza kufungua Account katika benki hiyo, 
Elianasa Marco Njiu,mkazi wa jijini Dar es Salaam, 
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Benki hiyo iliyofanyika jijini 
Dar es Salaam, leo Nov 12, 2013. Wa pili (kulia) ni Mteja wa 
kwanza kupata mkopo katika benki hiyo, Margareth Chiwata

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na 
baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na wachungaji wa 
Kanisa la KKKT, baada ya ufunguzi rasmi wa benki hiyo. 
Picha na OMR

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment