Makamu wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,
Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiongea na Watanzania waishio
Seattle, Washington State walipomuandalia hafla ya
kukutana nae siku ya Jumapili Novemba 10, 2013 mjini
Seattle, WA Mhe. Balozi Seif Ali Iddi aliwaasa Watanzania
waishio nje ya nchi kuheshimu taratibu na sheria za nchi
wanazoishi, vile vile wasijisahau kuwekeza nyumbani ili
watakapoamua karudi wewe na msimamo wa maisha
badala ya Kuanza kutangatanga.

Juu na chini Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania
Washington State pamoja na Watanzania waishio huko
katika picha ya pamoja na Makamu wa pili wa rais
serikali ya mapinduzi Zanzibar.

Juu na chini ni Watoto wa Watanzania waishio
Washington State wakiwa katika picha ya pamoja
na Makamu wa pili wa rais Serikali ya mapinduzi
Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments :
Post a Comment