Meneja wa Maabara ya Kampuni ya Usafishaji wa Mafuta
ya ABS ya Ajman Bibi Farzana Waqar akimpatia darasa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
na Ujumbe wake walipokuwa katika ziara ya kukagua
maeneo huru ya uwekezaji Nchini Sharjah.
Mwenyekiti wa Kampuni ya huduma za Meli na
usafishaji mafuta ya ALCO Bw. Syed Ijaz Hassan
akimkaguza Balozi Seif na Ujumbe wake kwenye kara
kana za Kampuni hiyo Mjini Ajman Nchini Sharjah.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na ujumbe
wake akikagua harakati za ujenzi wa Bodi Mpya pamoja
na matengenezo ya Meli kwenye chelezo kilichomondani
ya eneo huru la uwekezaji katika eneo la Hamriya Sharjah.
Mwenyekiti wa uhifadhi wa mazingira ambae pia
ni mshauri wa maendeleo ya ujenzi wa Mamlaka hiyo
Dr. Mohammad Tariq akizungumza na Balozi Seif kwenye
Makao Makuu ya Mamlaka ya Maeneo huru ya Hamriya
wakati wa mapumziko ya siara yao kwenye Mamlaka hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Mamlaka
ya maeneo huru ya uwekezaji ya Hamriya Nchini Sharja
pamoja na Ujumbe aliofuatana nao.
Balozi Seif akibadilishana mawazo na mwenyeji
wake Mwenyekiti wa Kampuni ya Utengenezaji wa
Nondo Bwana Islam Ally Saleh wakati walipokuwa
wakitembelea kiwanda hicho kinachopata mali ghafi
za kokoto kutoka Tanga Tanzania.
Balozi Seif akipand miti mbele ya jengo la Ofisi ya
Kampuni ya Al – Khaleej ndani ya maeneo huru ya
uwekezaji ya Hamriya Nchini Sharja kama ishara
ya kumbu kumbu ya kutembelea eneo hilo la uchumi.
Balozi Seif akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya
Kimataifa ya Ujenzi wa Viwanja vya Ndege pamoja
na Bandari { HELIOEST GROUP } ulioongozwa na
Mwenyekiti wake Bwana Jean Marc Ciccotti katika
Hoteli ya Pullman Mjini Dubai.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Kimataifa ya
Ujenzi wa Viwanja vya Ndege pamoja na
Bandari { HELIOEST GROUP } Bwana Jean
Marc Ciccotti akibadilishana mawazo na
Balozi Seif kuhusu sekta ya uwekezji katika
Hoteli ya Pullman Mjini Dubai.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment