dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, December 26, 2013

ATAKAE KWENDA NUSU UCHI ZANZIBAR KUKIONA - YES!!! YES!!! YES!!!

NUSU UCHI
 
Wizara ya habari, utamaduni, utalii na michezo imewataka wanachi kuwafikisha katika vituo vya polisi watu wanaovaa mavazi ya nguo za nusu uchi na zinazobana.
Akijibu suala katika kikao cha baraza la wawakilishi waziri Said Ali Mbarouk amesema sheria namba moja ya mwaka 1973 inatoa fursa kwa wananchi kusimamia utekelezaji wake kwa kuwafikisha vituo vya polisi watu wanavaa nguo zinazokwenda na sheria hiyo
Aidha Mbarouk amesema sheria hiyo pia inatoa fursa kwa wananchi kuwakamata wanaume wanaovaa mapambo ya kike ikiwemo herini, kidani na kusuka nywele kuwafikisha vituo vya polisi.

Chanzo: Islamic News Blog

1 comment :

  1. HI IMETULIA KWELI MPANGO MZIMA WAKAMATWE 2 KISHA NA MAKOFI KIDIGO.

    ReplyDelete