zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, December 3, 2013

Dk. Shein Azungumza na Msajili wa Vyama vya Siasa

Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Msajili wa Vyama 
vya Siasa Tanzania Jaji Francis S.K.Mutungi,alipofika Ikulu 
Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana na Rais jana.

Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na 
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Jaji Francis 
S.K.Mutungi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili 
ya kusalimiana na Rais jana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana 
na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania 
Jaji Francis S.K.Mutungi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,
baada ya mazungumzo yao jana.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment