Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui,alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman ,katika ufungufuzi wa Tamasha la Biashara,Mkoa wa Mjini Magharibi jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Baadhi ya Viongozi na wananchi waliohudhuria katika ufunguzi wa Tamasha la Biashara,(Shopping Festival) katika viwanja vya Maisara Suleiman,Mkoa wa Mjini Magharibi jana,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Wafanyakazi mbali mbali wa maidara na taasisi binafsi wakiwa katika Tamasha la Biashara (Shopping Festival) lililoanza jana na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Maisara Suleiman,Mkoa wa Mjini Magharibi [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Wananchi wakiangalia bidhaa katika banda la Shirika la ZSTC wakati wa Tamasha la Biashara (Shopping Festival) lililoanza jana na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Maisara Suleiman,Mkoa wa Mjini Magharibi [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Wananchi wakipata maelezo katika banda la Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC, wakati wa Tamasha la Biashara (Shopping Festival) lililoanza jana na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Maisara Suleiman,Mkoa wa Mjini Magharibi [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibonyeza kitufe kilicholiza king’ora kuashiria ufunguzi wa Tamasha la Biashara (Shopping Festival) lililoanza jana katika viwanja vya Maisara Suleiman,Mkoa wa Mjini Magharibi,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa zanzibar Balozi Sei Ali Iddi,(kulia) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiapata maelezo alipotembelea banda la Benki ya Posta Tanzania (Western Union) wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Biashara (Shopping Festival) lililoanza jana katika viwanja vya Maisara Suleiman,Mkoa wa Mjini Magharibi, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiapata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji Mwanahija Almasi Ali, alipotembelea banda la Shirika la ZSTC wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Biashara (Shopping Festival) lililoanza jana katika viwanja vya Maisara Suleiman,Mkoa wa Mjini Magharibi, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment