Kikosi cha Reki katika fensi iliofanyika hivi karibuni na kutembea katika mitaa ya mji wa Zenj na kuishia maisara.
Marukwama yaliokuwa yakitumika miaka ya sitini Zenj hayoooWatoto wakitoka Jandoni jinsi wanavyovaa.
Kinamama wakionesha kazi za Ufinyanzi wa Vungu na usokotaji wa kamba
Mambo ya misuko ya shikamoo bibi hayo yalikuwa ni mitindo mikubwa enzi hizo
Hivi ndivyo wazee wetu wa zamani walivyokuwa wakiuza kahawa na mavazi yake, tafauti na leo kahawa huuzwa katika mabuli ya chai.
Ngoma za kupunga mashetaniMambo ya Bomu hayoo yakioneshwa katika fensi hiyo.
Ngoma ya asili ya Mkoani Pemba katika maonesho hayo ya Fensi
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment