Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Ufundishaji na Utafiti katika Wizara ya Afya ya Jamii Cuba Dr.Marieta Cutino Redriguez akiongoza Ujumbe wa Viongozi wa Afya Kutoka Cuba walipokutana na Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Afya kutoka Cuba unaoongozwa Naibu Waziri wa Ufundishaji na Utafiti katika Wizara ya Afya ya Jamii Cuba Dr.Marieta Cutino Redriguez akiwemo na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo walipokutana na Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments :
Post a Comment