Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, September 16, 2014

KINANA KIBITI, RUFIJI!

  • Apokea viongozi wawli kutoka upinzani
  • Ataka serikali kuangalia upya sheria za utumishi.
 Katbu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kibiti mjini ambapo alisema kuna haja ya serikali kubadiliksha baadhi ya sheria katika Utumishi wa serikali kwani zitasaidia kupata watumishi bora wenye kuzingatia wajibu wao.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Kibiti mjini.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha Selemani Ndumbogani aliyekuwa katibu wa jimbo  wa Chadema ambaye amerudi rasmi CCM.
Mwingine aliyerudi CCM ni BwanaKhalfani Lipiluka Mtandika aliyekuwa mgombea wa Udiwani  CUF Kibiti.
 Wafanya biashara ndogo ndogo wakifuatilia kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinan

KINANA ASHIRIKI SHUGHULI ZA KIJAMII KIBITI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha maji mkazi wa kijiji cha Muyuyu Bi.Zainabu Athumani mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji utakaonufaisha wananchi 3765.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki zoezi la kuchanganya dawa kwa ajili ya kutengeneza batiki kwenye kikundi cha akina mama kinachoitwa Upendo.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia kitenge cha batiki alichotengeneza kwa kushirikiana na akina mama wa kikundi cha Upendo kitongoji cha Songa kijiji cha Mchukwi.
 Katibu Mkuu wa CCM akishiriki kupiga marimba na  wasanii wa kijiji Mchukwi wakitumbuiza ngoma ya Dega
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na mmoja wa mama lishe wa soko la Kibiti mjini ambapo alijionea namna ambavyo biashara zinavyoendelea.

cHANZO: vIJIMAMBO

No comments :

Post a Comment