Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Vingozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyojumisha jumla ya wahitimu 35 yaliyofanyika Chukwani.
Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akisalimiana na Wahitimu wa Mahafali ya Madaktari alipowasili katika uwanja wa MahafaliChukwani..
Mke wa Rais Msataaf wa Zanzibar Mama Shadya Karume, akisalimiana na Madaktari wa Cuba alipowasili katika viwanja vya Chuo Chukwani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiingia katika viwanja vya sherehe za Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Taaluma ya Afya yaliofanyika katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Zanzibar.
Wahitimu wa Kada ya Taaluma ya Udaktari Zanzibar wakiingia kwa maandamali katika sherehe yao ya Mahafali ya Kwanza ya Chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Afya Chukwani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja, jumla ya wanafunzi 35 wamehitimu mafunzo na kupewa shahada zao
Waziri wa Afya Rashid Serif Suleiman akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na wanachuo na wananchi waliohudhuria katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja, jumla ya wanafunzi 35 wamehitimu mafunzo na kupewa shahada zao leo
Balozi wa Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo alipokuwa akitoa salama zake wakati wa Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar mafunzo yaliyotolewa na Madaktari Bingwa kutoka CUBA yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Walimu Madaktari Bingwa katika Chuo cha Madaktari Zanzibar kutoka Nchini CUBA wakiwa katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume na Mkewe Mama Shadya Karume (kulia) pamoja na Viongozi wengine Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo wakiwa katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar mafunzo yaliyotolewa na Madaktari Bingwa kutoka CUBA yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba akimtunuku shahada Zena Kassim Mohamed akiwa ni miongomi mwafunzi 35 waliohitimu mafunzo ya Udaktari katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya wakati wa mahfali ya kwanza yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja
Mkuu wa Kitivo cha Tiba DEAN Ulpiano Perez kutoka Cuba akimtunuku shahada Yassin Khamis Mohamed akiwa ni miongomi mwafunzi 35 waliohitimu mafunzo ya Udaktari katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya wakati wa mahfali ya kwanza yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Yussuf Said Ahmed baada ya kukutunukiwa shahada ya Udaktari wakati wa Mahfali ya kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja
Waalikwa katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar wakimsikiliza mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Waalikwa katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar wakimsikiliza mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Wahitimu wa Mafunzo ya Udaktari wapatao 35 yaliyotolewa na Mataktari Bingwa kutoka Nchini Cuba wakila kiapo cha Utii wa kazi zao mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgeni rasmi katika mahfali ya kwanza yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo Mbweni nje ya Mji wa Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa zawadi kwa Fatma Mrisho Haji akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliopata zawadi katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja (katikati) Dk.Salhia Ali Muhsin Mratibu wa Chuo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora zaidi ya wote walimaliza masomo ya Udaktari Nadhira Suleiman Said katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja (katikati) Dk.Salhia Ali Muhsin Mratibu wa Chuo
Baadhi ya wahitimu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja, jumla ya wanafunzi 35 wamehitimu mafunzo na kupewa shahada zao leo. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments :
Post a Comment