Kizimkazi imekuwa kivutio Kikubwa cha Watalii kutoka Sehemu mbali mbali Ulimwenguni kuja kuangalia Dolphine katika Bahari Hind ya Zanzibar,Afrika Mashariki.
Kwao ni Kivutio cha kuwatia Hamasa hasa kwa Kuwaona vile Wanavyoshuhulika katika maeneo yao na kupata fursa ya kuwapiga picha na video.
Wavuvi wa Kizimkazi hufaidika na shughuli hiyo ya kuwapeleka Watalii kuona Umashuhuri wa Dolphin wa Bahari hiyo walisema wakati nilipofanya mahojiano nao katika ziara yangu huko zenj.
No comments :
Post a Comment