Mama Dora Msechu Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchi za kinordic na Baltic alipokelewa kwa shangwe.
Wadau wakiserebuka.
Dj Richie na Erick Kalebi wakiwajibika.
Mama Dora Msechu Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchi za kinordic na Baltic alipokelewa kwa shangwe.
Palipendeza.
Mbili zatosha???
Ukumbi ukiwa nyomi.
Ngoma na nyimbo za kwetu.
Nyomi ya watu waliofika.
Watu wakia katika ukumbi.
Chanzo : Vijimambo
N.B.
Kabla ya huyu Balozi mpya, Balozi alikuwa Mhe Mohammed Mwinyi Mzale ambae alimaliza muda wake.
No comments :
Post a Comment