Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Mohammed Faki Mohammed kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Hamid Mohamoud Hamid kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha.Mhe. Maalim Ali Rajab, kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha.Mhe. Hussein Said Khatib kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Issa Mohammed Suleiman kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Mabrouk Jabu Makame, kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Jabu Khamis Mbwana kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya Mkoani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jiono,kabla ya uteuzi huo alikuwa Afisa Mdhamini Wizra ya Biashara,Viwanda na Masoko.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi SSP Sida Mohamed Himid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ,kabla ya uteuzi huo alikuwa Afisa Mdhamini Ofi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba.
//// Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Amran Masoud Amran kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,kabla ya uteuzi huo alikuwa Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
kwa kumbukumbu zangu bibi SSP Sida hakuwa AFISA MDHAMINI PEMBA.
ReplyDelete