BAADHI ya wanavikundi kisiwani Pemba, kuhamasika kuatika miche ya mikarafuu kwa wingi, miche hiyo imekuwa ikikosa soko kama ilivyo kwa kikundi cha Bobo sio dili cha Bogoa Mkanyageni Wilaya ya Mkoanikisiwani Pemba, (picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
KATIBU wa kikundi cha Bobo sio dili cha Bogoa MkanyageniWilaya ya Mkoani, Adam Kombo Khatib akimwangilia maji miche yake ya Mikarafuu iliyopo katika kikundi chao,ikiwa ni mchanganyiko wa miche 5000 iliyobakia msimu uliopita na miche ya sasa 10000 walioatika katika kipindi hichi wakisubiri kuitia sokoni (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment