zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, November 6, 2014

PBZ Yakabidhi Saruji Jumuiya ya Maendeleo Konde.

 Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar Tawi la Pemba,Ndg.Haji Machano,akimkabidhi Saruji Mwenyekiti wa Jumuiya  ya Maendeleo ya Jimbo la Konde,Kisiwani Ndg.Hamad Bakar Hamad.kwa ajili ya ujenzi wa ukarabati wa skuli ya Konde jumla ya mifuko mia ya saruji imekabidhiwa Jumuiya hiyo katika viwanja vya Skuli ya Konde Pemba.

 Viongozi wa Jumuiya ya maendeleo Jimbo la Konde Kisiwani Pemba wakiwa katika ya pamoja na Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Tawi la Pemba Ndg.Haji Machano, baada ya hafla ya kukabidhi mifuko ya saruji kwa Jumuiya hiyo kumalizia ujenzi Skuli ya Sekondari ya Konde Pemba hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli hiyo Konde.

Majengo ya Skuli ya Sekondari Konde Pemba ikifanyiwa matengenezo kwa sasa na kukabidhiwa mifuko wa saruji na Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd, (PBZ) imekabidhiwa Saruji mifuko 100 kwa ajili ya ujenzi huo.

Chanzo: ZanziNews



No comments :

Post a Comment