Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akioonmgoza kikao cha mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Jumanne Desemba 16, 2014 kwenye ukumbi wa Salama, Bwawani Hotel mjini Unguja, (kushoto), ni Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahaya Mzee.
Baadhi ya washirika wakifuatilia mjadala.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo Jumanne Desemba 16, 2014.
Mfanyabiashara Taufuk Salum Turky alipokuwa akitoa mchango wake na kuishauri Serikali kuchukua hatua za haraka katika kutoa maamuzi kwa miradi mbali mbali inayotaka kufunguliwa na wafanyabiashara wakati wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Hassan Omar akijibu masuala yaliyoulizwa wakati wa Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja ambapo mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
No comments :
Post a Comment