Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, December 16, 2014

Mwakilishi wa Shirika la afya duniani WHO ajitambulisha kwa Rais

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi  wa Mpya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa Zanzibar Dr. Andemichael Ghirmay Redae alipofika kutambulishwa na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Rofaro Chatora (katikati) halfa hiyo ilifanyika leo  Ikulu Mjini Zanzibar leo.
[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza  Mwakilishi  wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Rofaro Chatora (katikati) wakati alipofika kumtambulisha Mwakilishi  wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa Zanzibar Dr. Andemichael Ghirmay Redae (kushoto)   Ikulu Mjini Zanzibar leo.
[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mwakilishi  wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hapa Zanzibar Dr. Andemichael Ghirmay Redae baada ya mazungumzo yao leo alipofika kutambulishwa kwa Rais naMwakilishi  wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Nchini Tanzania Rofaro Chatora (katikati)  Ikulu Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment