Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, December 22, 2014

Mwenyekiti wa CUF Pro Lipumba awahutubia wanacuf skuli ya Jadida Wete.

  WANACHAMA wa chama cha wananchi CUF kisiwani Pemba, wakimsikiliza Mwenyekiti wa chama hicho taifa Pro: Ibrahim Harouna Lipumba, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa hadhara, uliofanyika skuli ya Jadida Wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)

  MWENYEKITI wa chama cha wananchi CUF taifa Pro: Ibrahim Harouna Lipumba, akikabidhi gari aina ya ‘Noah’ kwa uongozi wa jimbo la Mtambwe, iliotolewa na mwakilishi wa jimbo hilo Salim Abdalla Hamad, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika skuli ya Jadida Wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)

  NAIBU Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Mhe: Nassor Ahmed Mazuri, akitoa salamu zake kwa wanachama wa chama cha wananchi CUF kisiwani Pemba, kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho, uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho taifa Pro: Ibrahim Harouna Lipumba uliofanyika skuli ya Jadida Wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)
  WANACHAMA wa chama cha wananchi CUF kisiwani Pemba, wakinua mikono yao juu, wakiashiria kutoiunga mkono katiba iliopendekezwa ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanachama hao walikuwa kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho, uliofanyika skuli ya Jadida Wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)

  KATIBU mkuu wa CUF Zanzibar Mhe: maalim Seif Sharif Hamad, akitoa salamu kwa wanachama wa chama cha wananchi CUF kisiwani Pemba, kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho, uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho taifa pro: Ibrahim Harouna Lipumba, uliofanyika skuli ya Jadida Wete Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)

  MAKAMU mwenyekiti wa CUF Mhe: Juma Duni Haji akizungumza na wanachama wa chama hicho kisiwani Pemba, kwenye mkutano wa hadhara, uliofanyika skuli ya Jadida Wete Pemba, na kuhutubiwa na mwenyekiti wa chama hicho taifa pro: Ibrahim Harouna Lipumba (picha na Haji Nassor, Pemba)


MWENYEKITI wa CUF taifa pro: Ibrahim Haroun Lipumba akiwahutubia wafuasi wa chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika skuli ya Jadida Wete mkoa wa kaskazini Pemba(picha na Haji Nassor, Pemba)  

No comments :

Post a Comment