Wanafunzi wa Sunni Madressa School wakifurahia kutimiza miaka ishirini tokea kuanzishwa kwa Sunni. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Mwalim Mkuu wa Sunni Madressa School akielezea historia ya Skuli hiyo kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmin kuzungumza na wahitimu, wazee wa wanafunzi na walikwa
Mgeni rasmin katika Mahafaili hiyo Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na wahitimu, wazee wa wanafunzi na walikwa katika Mahafali ya kumi na nne ya wahitimu wa Form iv pamoja na kutimiza miaka ishirini tokea kuanzishwa kwa Sunni Madressa School. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Wahitimu wakimskiliza Mkeni rasmin (hayupo pichani). Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments :
Post a Comment