MKE wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe: Mama Salma Kikwete, akisoma mlango wa kwanza wa maulidi ya Baranzanji ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W) kwa upande wa wanawake yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba Mhe: Mwanajuma Majid Abdalla
MKE wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Mama Slama Kikwete, akimtunza mwanafunzi Sumaiya Salum aliyesoma sira, katika maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W) kwa upande wa wanawake yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba.
MKE wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Mama Slama Kikwete, akishuka kwenye jukwaa baada ya kuungana na wanafunzi wa Madrasat Qadiriya ya Amani Unguja, katika maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W) kwa upande wa wanawake yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Salma Kikwete akiwa na viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwa wamesimama kumswalia Mtume Mohammad (S.A.W), katika Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W) yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba
MKE wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Mama Slama Kikwete, akiitikia dua katika maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W) kwa upande wa wanawake yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba, kushoto ni Mkuu wa Mkao wa kusini Pemba, Mhe: Mwanajuma Majid Abdalla
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu katika Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W)yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba
MKE wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe:Mama Salma Kikwete akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu katika Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W)yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba.
WANAFUNZI kutoka Vyuo mbali mbali kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Mama Salma Kikwete wakati alipokuwa akizoma mlango wa kwanza wa maulidi ya Barazanji ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W)yaliyoandaliwa na Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba.
WANAFUNZI waliowahi kusoma katika chuo cha Almadrasat Jabal-hiraa Wete Pemba, wakisoma kasida katika maulidi ya kuzaliwa kwa mtume Mohammed (S.A.W)yaliyofanyika huko Wete.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba)
No comments :
Post a Comment