Kamanda wa Mkoa UVCCM Bw. Dioniz Malinzi
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye(kushoto) ambaye alikuwa mgeni rasmi na pia ndie kamsimika Bw. Dioniz kuwa Kamanda wa Umoja huo Mkoa wa kagera, kulia ni Ndugu Yahaya Kateme mwenyekiti wa Umoja huo.
Mbunge wa Bukoba Mjini Khamis Kagasheki akiongea na Wananchi waliokusanyika katika mkutano huo wa Usimikwaji wa Kamanda wa Mkoa UVCCM leo jioni.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Wananchi.
Saida K akitumbuiza leo kwenye Viunga vya Uwanja wa Mayunga "Uhuru Platform" leo hii wakati wa Kusimikwa kwa Kamanda wa Mkoa UVCCM Kagera.Mapokezi kuelekea katika Uwanja wa Mayunga Uhuru Platform leo
No comments :
Post a Comment