zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, April 12, 2015

AJALI MBAYA YATOKEA LEO ASUBUHI KWA BASI LINALOFANYA SAFARI IRINGA-KILOMBERO!

Kutokana na habari tulizozipokea leo, basi linalofanya safari Iringa-Kilombero limegongana uso kwa  uso na Fuso na baadae magari yote mawili yakateketea kwa moto huko maeneo ya milimani, kilomita kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kuelekea Morogoro. Watu kadhaa wamepoteza maisha yao akiwemo dereva wa Fuso hilo na wengine wamekufa kwa kuteketea na moto. Chanzo chetu kinaelezea kuwa ajali hio imetokea leo Jumaapili mnamo kama saa mbili za asubuhi.









No comments :

Post a Comment