Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, April 15, 2015

Mwakilishi wa Kikwajuni Mhe Mahmoud Atowa Elimu ya Katiba Mpya kwa Wananchi wa Jimbo lake


Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Mahmoud Mussa akizungumza na Viongozi wa UWT wa Jimbo hilo kutokana na kuielewa Katiba Mpya Iliyopendkezwa na kusoma baadhi ya Ibara hizo na kutowa ufafanuzi wake, mkutano huo umefanyika katika Tawi la CCM Kilimani. 
Mhe Mahmoud akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Viongozi wa UWT wa Jimbo la Kikwajuni na kuwataka kuisoma Katiba hiyo mpya iliopendekezwa na kutowa elimu juu ya Katiba hiyo kwa Wananchi wa Shehia zao.

Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Mahmoud akisoma baadhi ya Ibara za Katiba Mpya iliopendekezwa wakati akitowa Elimu ya kuielewa katika hiyo kwa Wananchi wa Jimbo lake. na kuwataka kuisoma na kuifahamu wakati wa kura ya maoni iwe rahisi kwao. 
Viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Jimbo la Kikwajuni wakimsikiliza Mwakilishi wao wakati akitowa Elimu ya Katiba Mpya iliofanyika katika Tawi la CCM kilimani.
Mwenyekiti wa UWT Jimbo la Kikwajuni Bi Nuru Mohammed akizungumzia Katiba wakati wa Mkutano huo uliowakutanisha Viongozi wa UWT Jimbo la Kikwajuni.
Viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Jimbo la Kikwajuni wakimsikiliza Mwakilishi wao wakati akitowa Elimu ya Katiba Mpya iliofanyika katika Tawi la CCM kilimani. 
Mhe Mgeni Hassan akitowa maelezo ya Ibara za Katiba Iliopendekezwa Jinsi ilivyotowa nafasi kwa Wanawake katika ngazi mbalimbali  


No comments :

Post a Comment