Msomaji wa kila siku wa Zanzibar Ni Kwetu kutoka North America (Canada) leo alipita karibu na hospitali ya aina pekee ambayo itakuwa ndio ya mwanzo katika America ya Kaskazini, kwani itakuwa fully digital. Yeye katuletea picha hizi hapa chini. Hospitali hii ambayo itafunguliwa rasmi katika mwezi wa October, 2015, ipo Toronto.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment