airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, May 14, 2015

Kikao cha Baraza la Wawakilishi cha asubuhi ya tarehe 13 May, 2015!

Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Pandu Amair Kificho akifuatilia hutuba ya Bajeti ya Muelekeo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliokuwa ikisomwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Dk Mwinyihaji Makame.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe Dk Mwinyihaji Makame akisoma muelekeo ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika mkutano wa Baraza Chukwani.




Mhe Mahmoud Mohammed Mussa akifuatilia Bajeti ya Muelekeo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati ikiwasilishwa na Waziri Dk.Mwinyihaji Makame katika ukumbi wa mkutano wakati wa Kikao cha asubuhi leo.
Askari wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa nje ya Ukumbi wa Mkutano wakijadiliana kazi wakati wa Kikao cha Bajeti leo 
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho akitoka Ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirisha kwa mapumziko ya mchana na kujiandaa kwa Mkutano wa Bazara wa kuwasilisha Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Waziri wa Fedha Zanzibar.
Waheshimiwa wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kuahirishwa kwa Kikao cha jioni kuwasilishwa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee akizungumza na Mhe Haroun Ali Suleiman Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma, wakiwa nje ya Ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa Kikao cha asubuhi baada ya kusomwa Muelekeo wa Bajeti ya SMZ na Mhe Dk kwa mwaka 2015-2016 na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Ikulu Dk Mwinyihaji Makame.leo asubuhi. 
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Ahmeid Mazrui , akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wa kuahirishwa kwa Kikao cha asubuhi baada  ya kuwakilishwa Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa Fedha 2015-2016 na Waziri Dk. Mwinyihaji Makame, (katikati) Mwakilishi wa Jimbo la Ole Mhe Hamad Masoud Hamad na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mhe. Juma Duni. Wakiwa nje ya Ukumbi wa mkutano.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Dk Mwinyihaji Makame akimsikiliza M
Wafanyakazi wa ZBC wakipanga mkakati wa kuripoti habari za Baraza la Wawakilishi wakati wa Kuwasilishwa Bajeti ya SMZ inayotarajiwa kusomwa leo jioni na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee.

No comments :

Post a Comment