Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakiwa katika Afisi za CUF Vuga wakisubiri mkutano ulioitishwa na CUF kutoa maelezo ya kujiuzulu kwa Profesa Ibrahim Lipumba katika nafasi yake ya Mwenyekiti wa CUF Taifa
Waandishi wakipanda gazi kuhudhuria mkutano ulioitishwa na CUF kuzungumzia kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwenyekiti wao Profesa Ibrahim Lipumba leo jijini Dar. wakiwa katika Afisi za CUF Vuga Zanzibar kuhudhuria mkutano huo ulioitishwa mchana huu.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari Uenezi na Mawasiliano na Umma Mhe. Ismail Jussa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadhia ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Chama hicha Profesa Ibrahim Lipumba, aliotangaza leo jijini Dar-es- Salaam kujiuzulu kwake kwa nafasi hiyi na kubaki mwanachama tu wa CUF, mkutano huo umefanyika katika Afisi za CUF Vuga Zanzibar
Waandishi wakifuatilia mkutano ulioitishwa na Uongozi wa CUF kuzungumzia kujiuzulu kwa Mwenyekiti wao Profesa Lipumba aliofanya leo jijiji ni Dar mbele ya waandishi wa habari.
No comments :
Post a Comment