MSIBA MAREKANI NA TANZANIA WA EDDIE MALCOLM.
Jumuiya ya Watanzania New York, New Jersey, Connecticut na Pennsylvania Pamoja na Jumuiya ya Watanzania Southern California zinaungana na Familia ya Mawhite kutangaza kifo cha Mtoto wao Eddie Ally Buna maarufu Eddie Malcolm kilichotokea Ghafla New Jersey, Marekani siku ya Jumanne August 04 2015.
Mwili utasafirishwa siku ya jumaamosi kwenda Zanzibar kwa mazishi kwa Qatar Airways.
Jumuiya inawaomba Watanzania wote watakaokuwa na nafasi kuungana nasi kumswalia marehemu siku hiyo hiyo ya jumaamosi saa nne asubuhi (10:00AM) kabla ya safari ya kuelekea Airport.
MAHALA:
MASJID IHSAN
977 FULTON STR,
BROOKLYN, NY 11238.
Tafadhali tujitahidi kufika kwa wakati hatutokuwa na muda mrefu mskitini.
Mwenye Enzi Mungu ailaze roho ya Marehemu Pahala Pema Peponi h amsameh makosa yake. AMEEN.
INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN.
MASWALI:
Hajji Khamis:347-623-8965
Abdul :818-428-8225
Miraaj A'Rasul:267-258-1719
Sabra Ali:747-200-7550
Rabia Dahal:818-378-6076
Amir Kius:551-358-2719
Hajji Khamis
Mwenyekiti
NY T'ZANIA COMMUNITY.
No comments :
Post a Comment