Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, August 31, 2015

Taasisi ya Samael Academy yatoa misaada kwa watoto yatima Pemba

 MSHAURI Mkuu wa Tasisi ya Samael Academy Kisiwani Pemba Hamad Faki Rashidi, akimkabidhi mkoba mmoja wa watoto Mayatima anaesoma katika madrasat Islamia ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 WANAFUNZI mayatima wanaosoma katika Madrasat Islamia ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani, wakiwa na mikoba na bahasha zenye fedha baada ya kupatiwa msaada huo na Taasisi ya Samael Academy Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 VIONGOZI mbali mbali wa Jumuiya ya Samael Academy kisiwani Pemba, wakijadiliana mambo mbali mbali baada ya kufika katika madrasat Islamia ya Mkanyageni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

  MWALIMU wa Salim Nassor Saleh, ambaye Madrasat sake inayolea watoto mayatima akitoa nasaha zake kwa walimu, wanafunzi na wazazi katika hafla ya kukabidhiwa misaada huko katika masjid Rahman Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Samael Academy Kisiwani Pemba Shekh Nassir Said Alrawah, akizungumza na watoto mayatima wanaosoma katika madrasat mbali mbali ambazo ni wanachama wao kisiwani Pemba, katika hafla ya kukabidhi misaada kwa watoto hao huko katika masjid Rahman Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Samael Academy Kisiwani Pemba, Shekh Nassir Said Alrawah, akikabidhi msaada wa mabuku kwa watoto mayatima, hafla hiyo iliyofanyika huko katika masjid Rahman Gombani Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Samael Academy Kisiwani Pemba, Shekh Nassir Said Alrawah, akikabidhi msaada wa mabuku kwa watoto mayatima, hafla hiyo iliyofanyika huko katika masjid Rahman Gombani Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
VIONGOZI mbali mbali wa Jumuiya ya Samael Academy Kisiwani Pemba, wakiangalia mabuku mbali mbali ambayo wamepatiwa watoto mayatima kutoka katika jumuiya hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments :

Post a Comment