Mgombea Urais kupitia Chama cha Tadea Mhe Juma Ali Khatib akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi Bwawani Kurejesha Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Tadea Mhe Juma Ali Khatib akiwa na Viongozi wa Chama wakiingia katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa ajili ya kurejesha Fomu ya Urais wa Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume wa Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha.S.Jecha akizungumza wakati wa mgombea Urais wa Chama cha Tadea akirejesha Fomu ya Urais wa Zanzibar Afisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar ziliko katika ukumbi wa Salama Bwawani Hoteli Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Tadea, Mhe Juma Ali Khatib, akiwa na viongozi wa Chama hicho wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Tadea Mhe Juma Ali Khatib akimkabidhi fomu yake ya kugombea Urais Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha.S.Jecha
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha,S.Jecha akipokea fedha kutoka kwa mgombea urais wa Chama cha Tadea kwa ajili ya malipo ya fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar kutoka kwa Mgombeac Mhe Juma Ali Khatib.
Viongozi wa Chama cha Tadea wakiwa katika hafla ya kurejesha fomu ya Urais wa Zanzibar kupitia Mgombea wa Chama hicho katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
No comments :
Post a Comment