Kikosi cha timu ya Zanzibar Star Diaspora Nchini Marekani
Burudani ya michuana hiyo imeandaliwa rasmi, (Kaka DC & DMV East Africa Diaspora Community Features) na katika
michuano hiyo time (4) zilizowakilishwa Kenya, Tanzania Stars, Zanzibar Stars na Rwanda.
Tukumbuke burudani ni ya siku moja, na Mechi ya kwanza itaaza rasmi, Majira ya Asubuhi Saa (10:00am hadi 11:30am), ambapo
Group A: - Tanzania Stars itachuana vikali na timu ya Rwanda
Na kuazia Asubuhi ya Saa 11:30am hadi Mchana1:00pm ni
GROUP B: - KENYA vs ZANZIBAR
Katika Mshindi atakaepatikana hapo yaani FINALS itachezwa Mchana wa saa 2:00pm hadi 5:00pm.Michuano hii inafanyika ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya Wafanyakazi nchini Marekani.
Nyote mnakaribishwa kuangali burudani ya aina yake kwa wale wapenzi wa mchezo wa Soka.ANUANI: FAIRLAND RECREATIONAL PARK
3928 GREENCASTLE RD. BURTONSVILLE, MD. 20866.
No comments :
Post a Comment