Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe (kushoto), akijibu swali wakati wa mdahalo wa wagombea urais uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.Wengine kushoto kwake ni mgombea urais wa Tanzania Labour Party (TLP), Maxmilian Lymo, mgombea urais wa ADC, Chifu Lutalosa Yemba na mgombea urais wa ACT- Wazalendo, Anna Ngwira.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment