"You must avoid letting anyone take away your freedom of thought in any way whether on religious or other grounds. People must use their minds and think, and there are situations where the use of the intellect is necessary so that excessive fantasy or fancy can be held in check." - His Majesty Sultan Qaboos bin Said, during his address to SQU students
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Hili blogu la Watanzania au la Waarabu wa Muscat?
ReplyDeleteAu ni mapenzi tu haya ya uarabu?
Mnanichekesha kweli nyinyi Zanzibar Ni Kwetu. Bado mnawakumbatia Waarabu tu?
Baada ya kutoa Karume's Wisdom au Nyerere's Wisdom nyinyi mnatoa His Majesty's Wisdom?
His Majesty's Wisdom itakusaidieni nyinyi nini? Acheni kujikomba na uarabu. Nyinyi ni Wamakonde tu!
Zanzibar Ni Kwetu huwa hatuwajibu wendawazimu!
ReplyDelete/ZNK Admin