dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, October 16, 2015

Mkutano wa kampeni za CCM wa aina yake Mnazimmoja, mjini Unguja leo!

 Wanachama wa wakiwa karibu na bango linalotoa ujumbe"UVCCM WILAYA YA MFENESINI TUMEJIPANGA CCM USHINDI NI LAZIMA"wakati  wa mkutano wa hadhara wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika leo katika uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mkono  wananchi na wanaCCM wakati alipokuwa akiingia katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo  katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCMzilizohudhuriwa na Maelfu ya Wazanzibar ,[Picha na Ikulu.] 
 Maelfu ya WanaCCM wakiwa wametulia kusikiliza sera zilizotolewa na Viongozi wa Chama hicho leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika leo katika uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja,mkutano uliowaombea wagombea kura za kuchaguliwa na kushinda katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika hivi karibuni[Picha na Ikulu.]
 Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakisimama na kuonesha picha mbali mbali akiwemo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizofanyika leo Uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja  ambazo  zilizohudhuriwa na Maelfu ya Wazanzibar na kuahidi kuwachagua Viongozi wa CCM na Kupelekea ushindi kwa Chama hicho,[Picha na Ikulu.]
  Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi Mzee Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Maelfu ya wanaCCM waliohudhuria katika Uwanja wa Mnazi Mmoja leo katika mkutano wa kampenzi za CCM,ambapo aliwaaomba wanahama hao kuwachagua Viongozi wote wa CCM walioomba nafasi za Uongozi kuwachagua kwa kura nyingi kupelekea ushindi kwa CCM,[Picha na Ikulu.]



 Maelfu ya WanaCCM wakinyoosha mikono juu kuunga mkono  sera zilizotolewa na Viongozi wa Chama hicho leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika leo katika uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja,mkutano uliowaombea wagombea kura za kuchaguliwa na kushinda katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika hivi karibuni[Picha na Ikulu.]
 Maelfu ya WanaCCM wakinyoosha mikono juu kumuunga mkono  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katikamkutano wa hadhara wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika leo katika uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja,mkutano uliowaombea wagombea kura za kuchaguliwa na kushinda katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika hivi karibuni[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na maelfu ya Wanachama wa CCM na wananchi waliohudhuria katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM mkutano wa aina yake uliofanyika leo katika uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kwa wananchi na wanaCCM wakati alipokuwa akimuombea kura katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM Uliofanyika leo Uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mkono  wananchi na wanaCCM wakati alipowasalimia  wakati wa mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM Uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo  katika  zilizohudhuriwa na Maelfu ya Wazanzibar na kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuiongoza Tanzania kupitia Chama chake cha CCM,[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment