Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika fukwe za Nungwi baada ya viwanja vya sokoni Nungwi kuwa vidogo.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhiwa jahazi na wazee wa Nungwi kwenye mkutano wa chama hicho uliofanyika katika fukwe za Nungwi baada ya viwanja vya sokoni Nungwi kuwa vidogo.
Wafuasi wa CUF walivyojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika fukwe za Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments :
Post a Comment