Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe Haule wakisogea eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni
Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akisalimiana na kikundi cha kuimba Accapella eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni
Ndege la Shirika la Ndege la Air Tanzania iliyomchukua Rais Kikwete ikiwasili uwanjani hapo
Rais Kikwete akishuka katika ndege
Rais Kikwete akilakiwa kwa furaha na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Rais Kikwete akipokea shada la maua
Rais Kikwete akitambulishwa kwa viongozi na maafisa mbalimbali wa Kenya
Rais Kikwete akisalimiana na maafisa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya
Rais Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya
Rais Kikwete akiongea na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Rais Kikwete na mwenyeji wake Naibu Rais wa Kenya Mhe Wiliam Ruto wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma vilivyokwenda kumpokea uwanja wa ndege.
Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Rais Kikwte akiweka saini kitabu cha wageni
Rais Kikwete akiangalia picha mbalimbali zenye historia ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta
Mratibu wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya akisom ratiba wakati wa kuanza kwa shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi
Wana Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

Balozi wa Tanzania nchini kenya Mhe John Haule akiongea wakati wa hafla ya Wana Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya waliyoandaa kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

Dua ya Kiisalamu ikisomwa na mwakilishi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi
Dua ya Kikristo ikisomwa na mwakilishi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya akisoma risala yao katika shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi
Wanajumuiya
Baadhi ya ujumbe wa Rais Kikwete kwenye hafla hiyo
Wanajumuiya wakimsikiliza Rais Kikwete
Rais Kikwete akihutubia wana Jumuiya
Rais Kikwete akihutubia wana Jumuiya
Rais Kikwete akihutubia wana Jumuiya
Wanajumuiya wakipiga makofi
Meza kuu
Wanajumuiya na wageni wakishangilia
Rais Kikwete akipokea zawadi yake toka kwa Jumuiya
Mapaparazi hawakosekani kwenye shughuli kama hizi....
Rais Kikwete akipokea zawadi kwa niaba ya mkewe Mama Salma Kikwete
Neno la shukurani
Rais Kikwete akimshukuru mtoa neno
Rais Kikwete akiwa na wanachama wa Jumuiya ya Kinamama wa Tanzania waishio Kenya
RAis Kikwete akiwa na viongozi wa jumuiya
Rais Kikwete akiwa na wanafunzi wa Tanzania wasomao Kenya
Rais Kikwete akipata picha na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya
Rais Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na Balozi John Haule na mkewe mama Haule wakati alipoamua kupiga picha na kila mwanajumuiya aliyehudhuria kwenye hafla hii. Hizi na baadhi tu ya hizo picha
Rais Kikwete akiwa na wanaJumuiya
Rais Kikwete akipokea maelezo ya badhi ya changamoto wazipatazo wanafunzi wa Tanzania wasomao Kenya kutoka kwa mwenyekiti wa umoja wao.
By Daniel Mjema, Mwananchi
Taveta, Kenya. Rais Jakaya Kikwete amemweleza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM), kitashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.
Rais Kenyatta kwa upande wake bila kutaja CCM, alisema anaamini Watanzania wataendelea kuiunga mkono Serikali na chama ambacho kimeweza kuwaletea, amani, umoja na maendeleo.
Marais hao walitoa kauli hizo katika mji wa Taveta wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Taveta –Voi – Mwatete nchini Kenya, yenye urefu wa kilomita 98.4 kwa kiwango cha lami.
Ujenzi wa barabara hiyo unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), kwa Sh8.4 bilioni za Kenya (takriban Sh168 bilioni), ulianza Mei 2014 na utakamilika Mei 2017.
Rais Kikwete alimweleza Rais Kenyatta pamoja na wananchi wa nchi hizo mbili waliohudhuria sherehe hizo kwamba amefurahi kupata fursa ya kuwaaga Wakenya.
“Rais amenialika wakati mzuri. Baada ya siku 21 kutoka leo (jana) tutakuwa tunapiga kura kuchagua Rais mpya,” alisema na kubainisha kuwa wananchi hao walikuwa na shauku la kujua rais ajaye ni nani.
“Mnaniuliza yupi? Atatoka chama changu tu, hilo sina wasiwasi nalo na Watanzania wanajua hilo. Hii ni nafasi nzuri ya kuja kuwaaga wenzangu wa Kenya,” alisema Rais Kikwete, kauli iliyoibua makofi na vicheko.
Rais Kenyatta alimtakia kila la heri Rais Kikwete wakati anapojiandaa kuondoka madarakani akimtaka amsaidie kuonyesha njia ni kazi gani marais wastaafu wanatakiwa kufanya wanapostaafu urais.
“Sisi pia utatuonyesha barabara ni kazi gani rais mstaafu huwa anafanya wakati wetu ukifika ili tujue tunaelekea wapi. Tunakutakia kila la heri katika kampeni za uchaguzi,” alisema.
Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, CCM kimemsimamisha Dk John Magufuli kupeperusha akichuana zaidi na mgombea wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa na pamoja na wengine sita.
Akizungumzia miradi ya barabara inayoendelea Kenya na Tanzania, Rais Kikwete alisema barabara hizo zimefanya biashara kati ya Kenya na Tanzania kwa miaka mitano kuongezeka kwa asilimia 40. “Barabara hii ikikamilika itaongeza asimilia nyingine 10. Nimekuja tu kuwaaga, lakini nimekuja kuwahakikishia kuwa Tanzania itaendelea kuwa rafiki wa Kenya,” alisema.
Alisema ujenzi wa barabara hiyo ni muhimu hasa kwa wananchi wa mikoa ya kaskazini na kukamilika kwake kutafupisha muda wa safari hadi kufikia saa 2.30 kutoka saa 14.
Mkurugenzi wa AfDB Afrika Mashariki, Gabriel Negatu, alisema imetoa mkopo wa Dola 1.5 milioni kwa ajili ya miradi hiyo mikubwa ya barabara Kenya na Tanzania.

No comments :
Post a Comment