Syd.Khalifa akiikagua mitambo ya kuchimba Mafuta, Zanzibar pamoja naye ni M.M.Pennel wa Mkuu wa Kampuni ya Shell.
Kutafuta mafuta Zanzibar kumeanza mwaka 1957, ilitarajiwa kisima cha Chuwini peke yake kitachimbwa kufikia futi 12,000,ukiwachilia sehemu nyingine kama Charawe.
Mtambo wa kutafuta Mafuta Kisiwa cha Unguja.

No comments :
Post a Comment