Mandhari ya hoteli mpya ya Muyuni kisiwani Pemba
Mandhari ya nje ya Hoteli ya Muyuni , inayomilikiwa na Kampuni ya AYYANA, ya Mauritius ambayo iko katika eneo la Makangale Kisiwani Pemba. ambapo Mkurugenzi mkaazi wa ZIPA, Fadhila Hassan Abdalla, akitoa maelezo juu
ya muwekezaji huyo alivyopiga hatuwa na kufikia kiwango cha uwekezaji unaotakiwa na ZIPA na Kamisheni ya Utalii kwa sasa. Picha na Bakar Mussa
No comments :
Post a Comment