Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
JAMANI, NIMEZIONA COMMENTS HIZI KULE MZALENDO NA KWAVILE HAPA JUU YANAZUNGUMZWA HAYA YA MAALIM KUENDA KUMUANGUKIA POPE, BASI BORA TUZISOME NA HIZI COMMENTS ZA HUYU ANAEITWA MTANDAONI KAMA ZAMKO:
ReplyDeletezamko 14/01/2016 kwa 7:39 um · Log in to Reply
@ Wazalendo
Njuwa kuna watu hapa watakuja na Kejeli dharau na kuita huu ni Ukafiri, lakini kwa maoni yangu nahisi Maalim Sefu Kumuona Anaamuwa Kuandika Barua za Kuomba Msaada Kwa POP Francis. Kuna sababu 3 Kubwa:
1. Maalim amechoshwa kuzungushwa Kichwa na Viongozi wa CCM wenye akili za Samaki. Kwakutafuta Suluhu ya Haki ya Wazanzibari ambao Wamemchagua Yeye ( Maalim Sefu Kuwa Raisi Wao).. Kwavile Ameona kwamba Kuna kauli mbali mbali zinatolewa na Viongozi wa CCM ambao Wamo Kwenye Kikao hicho cha Suluhu. Amegundua kwamba hakuna Muwafaka utakao patikana.
2. Hii ni silaha yake ya Mwisho Kuonyesha Ulimwengu Kwamba Suluhu Inaweza kupatikana ikiwa Mtu hatokata Tamaa. Na Maalim Haja kata tamaa kuhusu haki yake na Haki ya Wazanzibari.. Ndio Maana anajaribu kutoka Nje ya Vikundi anavovijuwa na Dini Tofauti. Kabla Bomu hili halijapasuka.
3. Ni Kuonyesha Upevu Wake Wa Kukomaa Kisiasa na Kidini, kwamba Dini zinaweza Kuifanya Nchi ikawa na Vibrant Culture Identity kama ilivokuwa Zanzibar hapo Zamani.. Na Maalim Amemuandikia Papa kwasababu anamuona yuko na Humanity sio kama Nduguzetu wa BAKWATA.. Wako Kifedha na Ki CCM Tu..
a.. Maalim Ndie Kiongozi Wa Mwanzo kwa Zanzibar ambae Amekaa na Watu Wa Dini au Madhehebu Tofauti yasio ya Kiislamu na Kuzungumza nao Kiungwana na kuwahakikishia kwamba Yeye atakapopata Madaraka basi Wakristo watakuwa Safe na Kila Mtu atakuwa na Haki au Uhuru wa kuabudu anachokitaka. Hivo Kumuandikia Pop Isijekufanywa Nongwa na Hao Maulamaa na Wanazuoni Wa Kizanzibari ambao Wana msimamo Mkali.
Ikiwa CCM Zanzibar haitasikiliza Ushauri Mwengine Maalim Sefu atakuwa ameshauonyesha ulimwengu Kwamba Amejaribu kutafuta Suluhu Ndani Ya Tanzania Lakini Viongozi Wa CCM Muungano na Wahafidhuna Ndio Wanao ivuruga Zanzibar.
Najuwa Viongozi Hawa na Serikali Hizi Zinataka Kuja Kufanya Mapinduzi Mengine Kwakutumia Jeshi lao hapa Visiwani Ili Liuwe Waislamu.. Lakini Naamini Wazanzibari Ikifika Stage Hiyo Basi Hatuna Budi Tuyaoge Tu.. Na Inshallah Kwavile Tutakuwa Tunapigania Haki Zetu..
Tukisimama Wenyewe Tutahakikisha Kwamba CCM Na Muungano Zanzibar Unaondoka .. Yarabi Tujaalie Utupe Haki Zetu Kwa Salama na Amani Bila ya Damu Kumwagika lakini Ikiwa Wewe Allah Umetufanyia Uzito Wakupata Haki Yetu Kwa Amani Basi.. Hakuna Jengine Ila kupigana..