KAMATI YA MAANDALIZI YA MAZIKO KWA USHIRIKIANO NA FAMILIA YA MAREHEMU GEORGE SEBO INAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA WOTE KUWA MAZIKO YATAFANYIKA JUMAMOSI JANUARI 30th, 2015 KATIKA MAKABURI YA GATE OF HEAVEN YALIYOKO SILVER SPRING, MARYLAND
BAJETI NZIMA YA MAZISHI NI DOLA $17,000.00
KAMATI NA FAMILIA INAOMBA WATANZANIA KUSHIRIKIANA NAYO
KATIKA KUFANIKISHA MAZISHI HAYA YA MZEE WETU MPENDWA.
UNAWEZA KUCHANGIA KWA AKAUNTI YA BANK OF AMERICA
GRACE SEBO
RALLY# 052001633 ACCOUNT # 4460 3585 2353
MSIBA UKO:
1801 SAINT GEORGES WAY, BOWIE MD 20721
PIA UNAWEZA KUPIGA SIMU KUTAKA MAELEZO ZAIDI
KWA NAMBA ZIFUATAZO
240 565 7133
240 423 0437
301 674 9667
No comments :
Post a Comment