- BW. BARAKA SHAMTE NI MTOTO WA SITA WA HAYATI WAZIRI MKUU WA MWANZO WA ZANZIBAR, MAREHEMU SHEIKH MOHAMMED SHAMTE HAMADI.
In glasses facing the camera is Mr Mohammed Shamte, the first Prime Minister of Zanzibar (who is the father of Mr Baraka Shamte) with members of the Sultan's First Zanzibar Government (1963). Others from left to right are: Sheikhs Ameir Tajo, Ali Muhsin, Miraj Shaalab, Vuai Kiteweo, Mohammed Shamte, and Seyyid Abdulla Bin Khalifa Bin Haroub (the then Sultan of Zanzibar).
UVAAJI WA KANZU NA KOFIA - ZANZIBAR NA PWANI!
Kikwete akiiweka sawa kanzu ya Pinda.
RAIS WA AWAMU YAPILI - ALI HASSAN MWINYI
Zanzibar's new leaders at Karume's grave. Yaone mavazi yao - ni kama walioambizana.
The late President of Zanzibar Mr Abeid Amani Karume in the heyday of the political struggle in the Isles.
Sheikh Thabit Kombo Jecha - siku pekee aliewahi kuvaa shati na suruali ni siku iliyotangazwa curfew ya mwanzo Zanzibar (1969). Siku hio pekee ndio alivaa nguo za kijeshi sawa na MBM wengine.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Tano Dr. Salmin Amour (Komandoo) kati kati akibadilishana mawazo na Makamu wa Rais Mstaafu wa Tanzania Dr. Moh’d Gharib Bilal kushoto na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi nyumbani kwake Kidombo mara baada ya chakula cha mchana (Dec. 31, 2015).
The present President of Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein while talking to the nation.
N.B.
For the rest of the videos of Baraka Shamte as interviewed in Zanzibar towards the end of 2015, search in the you-tube under 'BARAKA MOHAMMED SHAMTE'.
No comments :
Post a Comment