Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, February 13, 2016

Zantel Yakabidhi Fedha Maktaba Kuu ya Zanzibar kwa Ajili ya Ununuzi wa Vitabu vya Maktaba.

Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (kushoto) akikabidhi hundi ya shilingi milioni 10 kwa maktaba kuu ya Zanzibar kwa Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi Sichana Haji Foum (kulia). Wanaotazama ni kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Bwana Abdallah Mzee na upande wa 1.   kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya Huduma za Maktaba Zanzibar, Suleiman Yahya.
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin (kushoto) akikabidhi hundi ya shilingi milioni 10 kwa maktaba kuu ya Zanzibar kwa Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi Sichana Haji Foum.

Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi Sichana Haji Foum (kulia) akiwaonyesha baadhi ya vitabu vya Maktaba Kuu ya Zanzibar, Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Bwana Abdallah Mzee (katikati) baada ya kampuni ya Zantel kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya maktaba kuu ya Zanzibar.
  Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa maktaba kuu ya Zanzibar. kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Abdalla Mzee. 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Bwana Abdallah Mzee akiishukuru kampuni ya Zantel baada ya kupokea msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya maktaba kuu ya Zanzibar. kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin

Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi Sichana Haji Foum (kulia) akiwaonyesha baadhi ya vitabu vya Maktaba Kuu ya Zanzibar, Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Bwana Abdallah Mzee (katikati) baada ya kampuni ya Zantel kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya maktaba kuu ya Zanzibar.
Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi Sichana Haji Foum (kulia) akiwaonyesha baadhi ya vitabu vya Maktaba Kuu ya Zanzibar, Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Bwana Abdallah Mzee (katikati) baada ya kampuni ya Zantel kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya maktaba kuu ya Zanzibar.

Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba Zanzibar, Bi Sichana Haji Foum (kulia) akiwaonyesha baadhi ya Komputa za Maktaba Kuu ya Zanzibar, Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Benoit Janin, wakati wa kutembela maktaba hiyo baada ya hafla ya kukabidhi msaada wa shilingi milioni 10 kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya maktaba kuu ya Zanzibar.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot
Zanzinews.com. 

No comments :

Post a Comment